Pay for your admission form through mobile payments
Click the button below to send your information via WhatsApp
Send Information via WhatsAppTumia button ya WhatsApp hapo juu, kutuma ujumbe mfupi wenye taarifa binafsi kama:
Baada ya kutuma taarifa hizo utapokea ujumbe mfupi wenye majina ya mwanafunzi na control number yake ya malipo.
Unaweza ukafanya malipo kwa mitandao ya simu. Chini ni maelekezo ya kufanya malipo kwa njia ya CRDB:
Dial *150*53# and follow the prompts
Visit any CRDB branch with your control number
M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, HaloPesa
Baada ya hapo, tukisha hakiki taarifa za malipo kwenye mfumo wetu, utatumiwa form hiyo kwa njia ya WhatsApp tayari kwa kudownload.
Mara tu baada ya kupokea link ya ku download admission form, na kuipakuwa unashauriwa kufika stationary ya karibu na wewe kwa ajili ya ku print na kujaza.
Contact us for assistance with the payment process